Ng’ombe siru ina mkamiwe Picha: Ng'ombe akikamuliwa. Kutoka: Pexels.com Ng'ombe aliyekasirika ana mtu wa kipekee wa kumkama. Hata watu walio na papara nyingi huwa na watu wanaoweza kuwatuliza. Methali hii inaweza kutumika kuwashauri wale wanatafuta wachumba. Wanashauriwa kutafuta wale wanapenda amani au wale wanagundua mazuri kutoka kwao. #MethaliZaKibantu
Digital creation: local news, Kiswahili tutorials, Societal image articles, sports and more.