Matumizi ya "Ji"
1. Kuonyesha hali ya ukubwa katika umoja. K.m Mtu - Jiti, Mti - Jiti.
2. Hutumika kama kiambishi kirejeshi kinachoonyesha kuw mtu amejitendea kitendo husika yeye mwenyewe.
K.m Amejitega.
3. Hutumika mwishoni mwa nomino kuonyesha hali ya mazoea.
K.m Msomaji, mchekeshaji.
4. Kudharau.
K.m Jitoto hilo linacheka.
5. Hutumika kama kiambishi cha urejeshi wa nafsi.
K.m Tulijipikia chakula chetu.
Comments
Post a Comment