Skip to main content

Matumizi ya Jinsi

  Matumizi ya "jinsi"


1. Kuaminisha aina au sampuli.

K.m Mradi wa jinsi hii hautapendwa.


2. Hutumika kuleta maana ya namna au jinsi ya kutenda jambo.

K.m Tunafahamu jinsi ya kulima maharagwe. 


3. Hutumika kumaanisha vile kitendo kilifanywa.

K.m Hakujua jinsi aliibiwa na bintiye.

Comments