Matumizi ya "ka"
1. Kiambishi kiwakilishi cha wakati usiodhihirika.
K.m Mjomba akamtuma mwanawe dukani anunue vibanzi.
2. Katika vitenzi sambaba.
K.m Tulienda mtoni kisha tukabeba nyasi.
3. Kuagiza.
K.m Kamwambie anahitajika nyumbani.
4. Kuamuru.
K.m Kasome! Kijiji hakitupendi sana.
5. Kiishio cha kauli ya kutendeka.
K.m Halima alijaribu kumtongoza Juma lakini hakupendeka.
Comments
Post a Comment