Matumizi ya 'katika'
1. Kuonyesha uhusiano wa mahali.
K.m Bosire atakuwa katika gari lake.
2. Kuonyesha undani wa mahali badala ya kiambishi 'ni'.
K.m Dereva ameingia katika basi.
3. Kuonyesha hali fulani.
K.m Wamekuwa katika hali tatanishi.
Digital creation: local news, Kiswahili tutorials, Societal image articles, sports and more.
Matumizi ya 'katika'
1. Kuonyesha uhusiano wa mahali.
K.m Bosire atakuwa katika gari lake.
2. Kuonyesha undani wa mahali badala ya kiambishi 'ni'.
K.m Dereva ameingia katika basi.
3. Kuonyesha hali fulani.
K.m Wamekuwa katika hali tatanishi.
Comments
Post a Comment