Matumizi ya 'Na'
1. Kuonyesha kiunganishi.
Kwa mfano: Joshua na Becky watachapwa.
2. Hutumika katika mnyambuliko wa vitenzi.
Kwa mfano: Piga -->pigana , pigiana
3. Kuonyesha wakati uliopo.
Kwa mfano: Juma anasoma.
4. Kuorodhesha
Kwa mfano: Keziah amenunua mayai, mboga, baiskeli na mahindi.
Comments
Post a Comment