Skip to main content

Matumizi ya "namna "

  Matumizi ya "namna"


1. Kuonyesha njia ya kufanya jambo.

K.m Nanjala anafahamu namna ya kupika ugali.


2. Kuleta maana ya 'vile'.

K.m Namna alivyoning'ata ungedhani nilimkosea sana.


3. Kuonyesha aina au sampuli.

K.m Chakula cha namna hii si kizuri.

Comments