Skip to main content

Matumizi ya "ni"

    Matumizi ya 'ni'


1. Kubainisha mahali.

Kwa mfano: nyumbani, darasani.


2. Kuonyesha kitenzi kishirikishi kipungufu.

Kwa mfano: Yohana ni mkimbiaji.


3. Kubainisha nafsi ya kwanza.

Kwa mfano: Nitamtembelea.


4. Ukanusho.

Kwa mfano: Mathayo hapendani.


5. Baadhi ya nomino za Kiswahili. 

Kwa mfano: Nikaha.


6. Kuonyesha kielezi.

Kwa mfano: Yusufu alimtembelea shambani.


7. Kubainisha upande.

Kwa mfano: Kaskazini, kusini.


Comments