Skip to main content

Matumizi ya walakini

  Matumzi ya 'walakini'

1. Hutimika kuonyesha maana ya "hata hivyo" au "ila".

K.m Selume alisoma kwa miaka mingi walakini alifanikiwa baadaye.


2. Hutumika kuonyesha maana ya 'kasoro' au 'dosari'.

K.m Kitabu hiki kina walakini, kinafaa kubadilishwa.


Comments