Skip to main content

Aina za maghani simulizi

 

Aina za maghani simulizi

1. Rara -> ni hadithi fupi na nyepesi aghalabu za kishairi zinazosimulia tukio la kuvutia na husimuliwa katika sherehe.

2. Ngano -> hii ni ngano ambayo inasimuliwa ikiandamana na ala za muziki badala ya kusimuliwa tu.

3. Sifo -> humsifu mhusika kwa kusimulia kwa kirefu matukio yanayoambatana na sifa zake.

4. Tendi -> ni masimulkzi marefu kuhusu mtu fulani mwenye sifa za ushujaa katika jamii au taifa nzima.

Comments