Amba - na 'O' rejeshi
Amba- na 'o' rejeshi havifuatani katika sentensi moja hasa kurejelea nomino moja.
Kwa mfano ni kosa kusema:
Mtoto ambaye aliyecheka anasoma.
Sentensi sahihi ni:
Mtoto ambaye alicheka anasoma.
au
Mtoto aliyecheka anasoma.
Digital creation: local news, Kiswahili tutorials, Societal image articles, sports and more.
Amba - na 'O' rejeshi
Amba- na 'o' rejeshi havifuatani katika sentensi moja hasa kurejelea nomino moja.
Kwa mfano ni kosa kusema:
Mtoto ambaye aliyecheka anasoma.
Sentensi sahihi ni:
Mtoto ambaye alicheka anasoma.
au
Mtoto aliyecheka anasoma.
Comments
Post a Comment