Skip to main content

Vinyume vya vielezi na vivumishi

 Japo vinyume katika sarufi ya Kiswahili hupatikana sana katika vitenzi, dhana hii hujitokeza katika vielezi na vivumishi pia.


Vinyume vya vielezi

1. Mbali - karibu

2. Ndani - nje

3. Juu - chini

4. Haraka - polepole 


Vinyume vya vivumishi

1. Mrefu - mfupi 

2. Mnene - mwembamba

3. Safi - chafu

4. Mkubwa - mdogo 

Comments