Konsonanti ghuna ni sauti ambazo zinapotamkwa huwa kuna mtetemeko wa nyuzi sauti.
Mifano ya sauti ghuna ni : /z/, /b/, /g/, /d/, /gh/, /ny/, /ng/, /j/, /v/, /w/, /dh/, /y/, /n/, /m/.
Konsonanti sighuna ni sauti ambazo zinapotamkwa huwa hakuna mtetemeko au mtikisiko wa nyuzi sauti.
Mifano ya sauti sighuna ni: /s/, /k/, /t/, /p/, /ch/, /f/, /h/, /th/.
Comments
Post a Comment