Mofimu Mofimu ni sehemu ndogo sana ya neno inayowasilisha maana. Kw mfano: katika neno 'Mgonjwa' 'm' ni mofimu ya kudhidhirisha umoja katika ngeli ya A - WA; 'Wa' katika "wagonjwa" ni mofimu ya wingi. - Mofimu aidha inaweza kuwa neno zima. Kwa mfano: Gari, Mama, Kisumu na Penseli. Mofimu huru Mifano ya mofimu huru - Mofimu huru ni ile inajisimamia bila usaidizi wowote. 1. Nomino. K.m Kuku, kiti, Uzi 2. Viwakilishi. K.m Mimi, sisi, wewe, nyinyi, yeye, wao 3. Vivumishi. K.m karimu, bora, nadhifu, humusi. 4. Viunganishi. K.m Mradi, sembuse Mofimu tegemezi /mofimu funge - Hizi hazina uwezo wa kujisimamia hadi ziongezewe viambishi awali. K.m Kulima + m = mkulima Ganga + m = mganga Wete + ki = kiwete - Kuna mofimu funge ambazo zimepewa muundo wa majina mawili. K.m Mwana + mwali = mwanamwali Mwana + nchi = mwananchi Mwana + mkiwa = ...
Digital creation: local news, Kiswahili tutorials, Societal image articles, sports and more.