Skip to main content

Posts

Mofimu

     Mofimu Mofimu ni sehemu ndogo sana ya neno inayowasilisha maana. Kw mfano: katika neno 'Mgonjwa' 'm' ni mofimu ya kudhidhirisha umoja katika ngeli ya A - WA; 'Wa' katika "wagonjwa" ni mofimu ya wingi. - Mofimu aidha inaweza kuwa neno zima. Kwa mfano: Gari, Mama, Kisumu na Penseli. Mofimu huru Mifano ya mofimu huru - Mofimu huru ni ile inajisimamia bila usaidizi wowote. 1. Nomino. K.m Kuku, kiti, Uzi 2. Viwakilishi. K.m Mimi, sisi, wewe, nyinyi, yeye, wao 3. Vivumishi. K.m karimu, bora, nadhifu, humusi. 4. Viunganishi. K.m Mradi, sembuse Mofimu tegemezi /mofimu funge - Hizi hazina uwezo wa kujisimamia hadi ziongezewe viambishi awali.  K.m Kulima + m = mkulima          Ganga + m = mganga          Wete + ki = kiwete - Kuna mofimu funge ambazo zimepewa muundo wa majina mawili. K.m Mwana + mwali = mwanamwali          Mwana + nchi = mwananchi          Mwana + mkiwa = mwanamkiwa

Usirighe mundu usimudawa

 Usirighe mundu usimudawa. Kutoka: Deposit photos Picha: mtu anapiga shujaa wa dodi Usitusi mtu ambaye hujapiga. Kuchochea kwako kutakuletea maafa. Huwezi kuwa imara kwa shindano lolote. Watu wale wanadhaniwa bora wameishia kushindwa na watu waliodharauliwa katika shindano. #MethaliZaKilahaja 

Mundu ena ngingo teesowa kiraro

 Mundu ena ngingo teesowa kiraro Picha: Mtu aliye na mkeka Kutoka: Pexels.com   Mtu aliye na mkeka hakosi mahali pa kulala. Mkeka mzuri unaonekana kama kitu cha thamani. Maisha ni rahisi iwapo una uwezo wa kuishi katika mazingira yoyote. #MethaliZaKilahaja 

Kisimefwa usitaghe

 Kisimefwa usitaghe Asili: Pexels.com  Picha: Mtu anayeonyesha imani Usiache kuamini iwapo u hai. Maisha yamejaa pandashuka na hadithi za ufanisi baada ya uvumilivu. Kama kuna maisha na afya bora, basi kuna imani. Utaweza kubadilisha jambo iwapo utazidi kujaribu kila mara. #MethaliZaKilahaja 

Idio la mwana mkiwa lijimisha moto

 Idio la mwana mkiwa lijimisha moto Picha: Pexels  Methali hii ya Kitaveta inamaanisha hivi, kwa lugha ya kawaida, ndizi ya mtoto maskini italaumiwa kwa kuzima moto. Katika tukio ambalo linahusisha yatima aliyerithiwa na mtu wa karibu kama mjomba au shangazi. Moto unapozimika kijana anapochoma ndizi, basi ndizi ya ziada na uwepo wa kijana ndio utalaumiwa kwa kuharibu moto huo. Hutumika kama ukumbusho katika jamii ambapo aliye juu humwona aliye chini kama mtu anayekosea. #MethaliZaKilahaja 

Esikie mbeho niye esongeria moto

 Esikie mbeho niye esongeria moto.  Picha: Mtu anayehisi baridi Kutoka: Pexels.com  Mtu anayehisi baridi ndiye hufuata moto. Methali hii ya Kitaveta inadhihirisha kwamba: kabla hujahukumu mwanaume, tembea maili ndani ya viatu vyake. Huwezi kuelewa kabisa kile mtu anachopitia au sababu anavyoonyesha tabia ya kushangaza mpaka wewe uwekwe katika kama hali hio ndipo utaelewa.  #MethaliZaKilahaja 

Ng’ombe siru ina mkamiwe

 Ng’ombe siru ina mkamiwe Picha: Ng'ombe akikamuliwa.  Kutoka: Pexels.com   Ng'ombe aliyekasirika ana mtu wa kipekee wa kumkama. Hata watu walio na papara nyingi huwa na watu wanaoweza kuwatuliza. Methali hii inaweza kutumika kuwashauri wale wanatafuta wachumba. Wanashauriwa kutafuta wale wanapenda amani au wale wanagundua mazuri kutoka kwao. #MethaliZaKibantu

Corruption rate in Kenya police institution

  Image : corruption.  Source: Pixabay.com Corruption is an act of giving or obtaining something for the return of favors. The favors can be in the form of jobs, money or even other assets. Kenya police is an institution that is mandated to enforce law by the constitution. Despite having power to discretion, this institution has failed to curb the corruption menace. The vice trickles down from the top police officers up to the constables. Corruption involves bribery in most cases. For instance, the traffic police are notorious in collecting bribes at the road side with a firm face. Through my daily observation, I realised that these traffic officers are usually sent by their seniors with a stipulated target of the day. In a normal vehicle, they collect ksh 100 per vehicle. That's why they wakes early to achieve the target by evening hours. However, the process is not easy as most of the time the officers struggle to achieve the target.  When the target is not achieved at the end of

Reasons for the Increasing Rate of Unemployment in Kenya

  Image : Pexels.com: Unemployment  For any organisation, company or business to run, several people must be employed. This hasn't been easy in the recent days. Unemployment has been rampant from tertiary graduates to normal individuals. I will discuss several reasons why unemployment is continuing to multiply in Kenya. These factors includes: 1. Abundance of graduates  Kenya has invested more in education facilities. There are more public and private universities. In early 1980s kenya had two universities that is Kenyatta University and The University of Nairobi. However, things have changed and every year a thousand of graduates are joining the competitive market. Despite their excellence in academic work, most of them lack the basic practical skills. Most of them want large salary at their first attempt into the corporate world. The organizations are willing to accommodate some graduates but they can't give opportunity to everyone. A few gets the coveted positions while the

The problems facing Kenya

  Image : Pexels.com: Kenyan flag Kenya is a nation that's growing faster in terms of infrastructure, technology and more. Despite being among the best economic wise countries in East Africa, the challenges are many than the solutions.  In this article, I will discuss the troubles Kenya has been facing. The obstacles experienced by this nation are as follows: 1. Abundant corruption  The bribery began to be evident after Kenya attained its independence in 1963. In all organisations there's a trace of corruption starting from the Executive, Legislature, Judiciary and the ordinary Kenyan society. It's sad when a young man and woman is expected to pay KSH 500,000 and more to secure a job in Kenya Police service or even in the Kenya Defence Forces. Corruption is every where as most people have acquired the formal education. At Kilindini Harbour, the products that are brought to Kenyan market are not well scrutinized. Even in political society, the leaders accused of corruption b

Reasons why people remain poor

  Image : Screengrab: Pexels.com Poverty is a challenge that is brought about by lack of finances and the ability to manoever in the society. It simply means 'to lack something '. In most cases, poverty is associated with financial stability. As resources are important to the growth of an individual, the monetary stability is a challenge that continues to strike most homesteads in the society. In this article, I will discuss the reasons why people end up becoming poorer in life. The reasons are: 1. Lack of financial budget plan It's good when someone has a plan how to spend his or her money. However, most people buy things they don't need. For instance, you will meet ladies buying dresses at the streets after seeing them for the first time. It's good when visiting a shop to have a written document or paper which has list of things you desire to buy. In the list you will indicate the prices and how much will be spend that day. This is a challenge as most of the produ

Manchester United thrashes Everton in Old Trafford

  Image : Manchester United  players celebrating   Source : Getty images 2024 Manchester United won 2 - 0 against Everton F.C. The red devils were going into the match with a defeat from Manchester City from the preceeding match in Etihad stadium.  The boys of Erik Ten Hag secured two penalties in the first half which were converted by Bruno Fernandes and Marcus Rashford in the 12th and 36th minute respectively.  The Old Tradford dwellers are now eight points behind Aston Villa, which is holding the fourth position of the English premier league. The race of securing the Champions league spot is becoming hotter than before.  Everton had tried to create chances in the second half but the defensive line lead by Rafael Varane stood firm and ensured Andre Onana secured a clean sheet after a consecutive matches of conceding goals.

Sauti ghuna na sighuna

      Konsonanti ghuna ni sauti ambazo zinapotamkwa huwa kuna mtetemeko wa nyuzi sauti. Mifano  ya sauti ghuna ni : /z/, /b/, /g/, /d/, /gh/, /ny/, /ng/, /j/, /v/, /w/, /dh/, /y/, /n/, /m/. Konsonanti sighuna ni sauti ambazo zinapotamkwa huwa hakuna mtetemeko au mtikisiko wa nyuzi sauti.   Mifano  ya sauti sighuna ni: /s/, /k/, /t/, /p/, /ch/, /f/,  /h/, /th/.

English Premier league fixtures for Saturday 9th March 2024

 English Premier league fixtures for Saturday 9th March 2024 Image Screengrab : shutterstock English Premier league (E.P.L) fixtures 2023 - 2024. [ SATURDAY, 9 MARCH 2024] - [East Africa Time] Manchester United vs. Everton [ 3:30 P.M. ] Wolves vs. Fulham [ 6:00 P.M. ] Crystal Palace vs. Luton Town [ 6:00P.M.] Bournemouth vs. Sheffield United [ 6:00P.M ] Arsenal vs. Brentford [ 8: 30 P.M. ] ©️ Kelvin Munene Media

Kenya Premier league fixtures for Saturday 9th March 2024

Image credit: Kenyapremierleague.com Kenya Premier league fixtures for  Saturday, 9th March 2024  ●  Nairobi city stars vs. Bidco United ( Machakos stadium ) - 1:00 P.M  ● Bandari vs. Gor Mahia ( Mbaraki Stadium ) - 3: 00 P.M. ● Sofapaka vs. Muranga Seal ( Machakos Stadium ) - 4: 00 P.M. ©️ Kelvin Munene Media

Vinyume vya vielezi na vivumishi

 Japo vinyume katika sarufi ya Kiswahili hupatikana sana katika vitenzi, dhana hii hujitokeza katika vielezi na vivumishi pia. Vinyume vya vielezi 1. Mbali - karibu 2. Ndani - nje 3. Juu - chini 4. Haraka - polepole  Vinyume vya vivumishi 1. Mrefu - mfupi  2. Mnene - mwembamba 3. Safi - chafu 4. Mkubwa - mdogo 

Mifano ya viunganishi

  Mifano ya viunganishi 1. Ilhali. 2. Laiti 3. Minghairi ya 4. Maadamu 5. Aidha 6. Kwa niaba ya 7. Seuze  8. Sembuse 9. Hata 10. Kwa ajili ya 11. Kwa hivyo 12. Lau 13. Kwa mintarafu ya 14. Aghalabu 15. Mradi 16. Licha ya

Amba- na 'O' rejeshi

  Amba - na 'O' rejeshi Amba- na 'o' rejeshi havifuatani katika sentensi moja hasa kurejelea nomino moja.  Kwa mfano ni kosa kusema:   Mtoto ambaye aliyecheka anasoma. Sentensi sahihi ni: Mtoto ambaye alicheka anasoma.               au Mtoto aliyecheka anasoma.

Mfano wa Barua rasmi

  Shule ya Upili ya Mawejo, S.L.P. 657, Mawindoni. 7 /3/2024. Meneja, Kampuni ya Jebo, S.L.P. 5499, Jefule. Kwa Meneja, KUH: KUOMBA KAZI YA UHANDISI Kwa taadhima mkuu, ninaomba nafasi ya kazi ya Uhandisi katika kampuni yako. Nilipata habari hii kutoka kwa gazeti la Paruwaja iliyochapishwa tarehe 7/12/2023. Mimi ni mwanamke wa miaka ishirini na sita. Nimehitimu chuo kikuu cha Faragha katika taaluma hio. Aidha nimefanya kazi ya Uhandisi katika kampuni nyingi humu nchini. Katika kampuni hizo nimeonyesha utiifu, uwajibikaji na uwezo wa kubuni vitu vipya. Ukinipa nafasi hii, ninakuhakikisha mabadiliko katika sekta ya teknolojia. Nitakushukuru kwa kupata majibu yako baadaye.  Wako mwaminifu,  -^-^- Jerusha Tindo.

Barua rasmi

    Barua rasmi   Ni aina ya barua inayoandikwa kwa madhumuni ya shughuli za kiofisi au rasmi. Shughuli rasmi ni kama vile: kuomba nafasi ya ajira, kuomba radhi kwa kumkosea mtu, kuomba nafasi ya kutembea eneo fulani kama kituo cha redio au kuwataarifu wafanyikazi kuhusu mabadiliko katika kampuni. Vitu vya kuzingatia unapoandika barua rasmi. Hivi ndivyo vitu vinapaswa kuwa katika kila barua rasmi: 1. Anwani : barua rasmi huwa na anwani mbili; anwani ya mwandishi na anwani ya mwandikiwa. Anwani ya mwandishi hujumuisha makao ya mwandishi (shule, kijiji, ) , Sanduku la Posta (S.L.P.), Mji na tarehe ambayo barua inaandikwa. Anwani ya mwandikiwa inahusisha hivi: cheo au dhima ya mwandikiwa, sanduku la posta (S.L.P.) na Mji.  2. Anayeandikiwa barua rasmi . Katika sehemu hii, mtu anayeandikiwa hurejelewa kama: Kwa Bwana au Kwa Bibi . 3. Lengo Hii ndio sehemu ya tatu katika uandishi wa barua rasmi. Hapa ndipo madhumuni yanapoandikwa kwa ufupi. Kwa mfano: MINT: KUOMBA KAZI YA UTABIBU. A